{"id":495002,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/495002/?format=json","text_counter":221,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Mumo","speaker_title":"","speaker":{"id":808,"legal_name":"Rose Museo Mumo","slug":"rose-museo-mumo"},"content":"Nimesimama kuunga mkono Mswada huu ambao unahusu Maji. Ningependa kusema kwamba ukosefu wa maji kama Waswahili husema, ni kidonda ndugu ambacho kimekuwa katika nchi yetu ya Kenya kwa muda mrefu, au tangu tujinyakulie Uhuru."}