{"id":506018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506018/?format=json","text_counter":107,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Naomba hatua ichukuliwe kabla ya kuleta hoja hapa ya kuzungumzia kifo cha Sen. Hassan. Seneti inafaa kuchukua hatua ili tuelezwe kinaga ubaga kile kinachofanywa kulinda maisha ya wananchi."}