{"id":506515,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/506515/?format=json","text_counter":328,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwashetani","speaker_title":"","speaker":{"id":2163,"legal_name":"Khatib Abdallah Mwashetani","slug":"khatib-abdallah-mwashetani"},"content":"Asante sana kwa kunipatia fursa hii ili nichangie Ripoti hii kuhusu usalama. Usalama umekuwa tatizo ambalo limekuwa changamoto sana katika Serikali hii ya Kenya. Sisi viongozi wageni, tangu tuchaguliwe katika mamlaka haya, tumekuwa na changamoto nyingi sana."}