{"id":511268,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511268/?format=json","text_counter":408,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mheshimiwa Spika, wakati kama huu, Waheshimiwa Wabunge wanatarajiwa kwenda katika maeneo yao wanayowakilisha ili wakae na wananchi wao wapate kuwaeleza yale ambayo wamekuwa wakifanya kwa muhula huu wote Bungeni."}