{"id":511270,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/511270/?format=json","text_counter":410,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mheshimiwa Spika, si nia yangu kuchosha kila mtu hapa jioni ya leo. Nashukuru Kamati ya Bunge ambayo inahusika na wale wanakuja mbele yake wakiomba uwaajiri kama Mheshimiwa Nkaissery ambaye amepewa wadhifa ama amependekezwa apewe wadhifa na hivi leo, amepitia kwa Kamati. Ni ombi langu kuwa---"}