{"id":512462,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/512462/?format=json","text_counter":75,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwiru","speaker_title":"","speaker":{"id":107,"legal_name":"Alex Muthengi Mburi Mwiru","slug":"alex-mwiru"},"content":"Mhe. Spika, namuomba Mheshimiwa mwenzangu aweze kufuatilia yale ambayo yanazungumziwa Bungeni. Ripoti ambayo anadai kwamba Kamati yangu haijaweza kuifanya, tayari tumeiwasilisha katika Meza ya Bunge hili."}