{"id":515359,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/515359/?format=json","text_counter":222,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Prof.) Lonyangapuo","speaker_title":"","speaker":{"id":447,"legal_name":"John Krop Lonyangapuo","slug":"john-lonyangapuo"},"content":"Sijui kama Sen. Kisasa amesoma hii Hoja vizuri. Hii ni kwa sababu Hoja hii haiwakatazi watoto kutoka kaunti zingine kwenda kusomea katika kaunti zingine. Kwa hivyo, naomba aisome vizuri kabla ya kuendelea."}