{"id":517184,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/517184/?format=json","text_counter":204,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ilibidi sote tuwe pamoja, tukavuta pamoja, tukasaidiana, tukachangiana, mpaka jamii pia ikajua yule mwenda zake alikuwa na watu ambao walimpenda na kumthamini."}