{"id":518407,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/518407/?format=json","text_counter":304,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"? Niko na maswali mengi sana kichwani mwangu, na ndio maana nikasema kwmba ni muhimu tutenge kiwango fulani cha pesa kwa sababu mazishi lazima yataendelea kuweko. Kimila, lazima tupeane michango; sijui nyinyi wenzetu mwafanyaje katika kaunti zingine? Sisi Wapwani, kimila, lazima tufanyiane mchango katika mazishi. Kwa hivyo, sijui tutafanyaje, ndipo nikafikiria upande mwingine. Je, tutasema tuwe na kiwango fulani---"}