{"id":526611,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/526611/?format=json","text_counter":112,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Waititu","speaker_title":"","speaker":{"id":1618,"legal_name":"Francis Munyua Waititu","slug":"francis-munyua-waititu"},"content":"Juzi nilimwona mhe. Muchai kwa runinga akiongea ukweli; alisema kuwa alikokuwa akifanya kazi, yaani katika COTU, kulikuwa na watu ambao walikuwa wanataka kumuua. Sisi kama Bunge la 11 hatutafanya kazi kama wakenya wanauwawa na hakuna kitu ambacho kinafanyika."}