{"id":530998,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/530998/?format=json","text_counter":285,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Gikaria","speaker_title":"","speaker":{"id":2489,"legal_name":"David Gikaria","slug":"david-gikaria"},"content":"Ahsante, mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii niichangie Hoja hii. Ninaiunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na dada yetu. Mimi ni mwanachama wa Kamati ya Utekelezaji wa Katiba."}