{"id":532627,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/532627/?format=json","text_counter":95,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Okong’o","speaker_title":"","speaker":{"id":948,"legal_name":"Kennedy Mong'are Okong'o","slug":"kennedy-mongare-okongo"},"content":"Bw. Naibu Spika, yale tunayoyaangazia hapa sio ripoti ya Waziri Chirchir lakini tunaangazia ripoti ya Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC), aliyopewa Rais. Kwa hivyo, Sen. (Dr.) Machage akitueleza kwamba ni ripoti ya Waziri Chirchir, nadhani anatupotosha."}