{"id":536842,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/536842/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Boy Juma Boy","speaker_title":"","speaker":{"id":758,"legal_name":"Boy Juma Boy","slug":"boy-juma-boy"},"content":"Bw. Spika, namshukuru. Mwaka “19 vua kofia” ni kutoka 1900 mpaka leo. Yaani kutoka hiyo miaka ilipoanza mpaka leo, hakuna mabadiliko yoyote, hali ni ile ile ya kutoka 1900 mpaka 2015; hali haibadiliki. Ndio maana tunasema The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."}