{"id":538598,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/538598/?format=json","text_counter":168,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Katana","speaker_title":"","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Jambo la nidhamu, mhe. Spika. Nimesimama nikukumbushe tu kwamba ndani ya Bunge hili kuna wabunge akina mama maanake tumeona mtiririko wa wabunge wenzetu; kufikia sasa kama kumi wameongea na akina mama tumebonyeza lakini hatujapata nafasi. Asante."}