{"id":538789,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/538789/?format=json","text_counter":359,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Dr.) Shaban","speaker_title":"","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"Asante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza, nampa pongezi Rais wetu wa Jamuhuri ya Kenya kwa Hotuba ambayo alitoa. Najiunga na wenzangu kumuunga mkono."}