{"id":538791,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/538791/?format=json","text_counter":361,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Dr.) Shaban","speaker_title":"","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"Alivyotuambia Rais, kwamba hali ya uchumi ya nchi hii imezidi kuimarika, ni kweli. Tunawaomba wawekezaji na wajasiriamali wote waje huku nchini kufungua makampuni na pia kufanya biashara ili tuweze kuimarika zaidi na vijana wetu wapate kazi."}