{"id":54473,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/54473/?format=json","text_counter":360,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Machage","speaker_title":"","speaker":{"id":179,"legal_name":"Wilfred Gisuka Machage","slug":"wilfred-machage"},"content":"Kutoka Mji wa Kehancha hadi Mji wa Migori ni kilomita 28. Lakini watu wetu wanalipa nauli ya Kshs400."}