{"id":546825,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/546825/?format=json","text_counter":255,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Katana","speaker_title":"","speaker":{"id":691,"legal_name":"Aisha Jumwa Katana","slug":"aisha-jumwa-katana"},"content":"Wabunge wetu wanafanya bidii sana kutumia Hazina za Maeneo Bunge kujenga shule na kupeana bursary . Lakini haya hayana msingi iwapo vyeti havitapeanwa kutoka katika shule mbalimbali katika Jamhuri yetu ya Kenya."}