{"id":551906,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/551906/?format=json","text_counter":121,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwakulegwa","speaker_title":"","speaker":{"id":101,"legal_name":"Danson Mwazo Mwakulegwa","slug":"danson-mwazo"},"content":"Bw. Spika, maswali yangu ni kama ifuatavyo: (1) Je, kama akina mama wa Taita-Taveta kweli wanazaa na wana vijana, kwa nini wasiandikwe kazi za vibarua? (2) Njama hizi hazijaanza leo. Kuna barabara inayotengenezwa kutoka Taita- Taveta kuja Mwatate na malori na mabasi yanaleta watu kila usiku. Ninauliza hivi---"}