{"id":557095,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/557095/?format=json","text_counter":113,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"ni “ Come, let us stay” Hiyo sio nia yetu. Nia ilikuwa kutafuta taratibu ambazo zinaweza kukubaliwa ili watu wakiamua wakae pamoja, waweze kuenda pahali ambapo wanahitaji wapatiwe cheti na mtu ambaye amethibitishwa kuwa amehitimu kufunganisha ndoa. Hivi sasa, tumeshindwa kuheshimu kanuni za ndoa kwa sababu tumeifanya iwe ghali mno. Watu wameamua tu wataondoka manyumbani mwao waje wakae kwa sababu wanaogopa zile gharama."}