{"id":563057,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563057/?format=json","text_counter":63,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Lay","speaker_title":"","speaker":{"id":1022,"legal_name":"Joyce Wanjalah Lay","slug":"joyce-wanjalah-lay"},"content":"shamba la Criticos ili tujue waliofaidika ni kina nani. Tunataka kujua kama waliofaidika ni wananchi ambao walikuwa hawana mashamba ama ni watu wengine."}