{"id":563061,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563061/?format=json","text_counter":67,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Lay","speaker_title":"","speaker":{"id":1022,"legal_name":"Joyce Wanjalah Lay","slug":"joyce-wanjalah-lay"},"content":"Vile vile, lazima tuangalie katika Mwatate Settlement Scheme wapatiwe hati miliki kwa sababu wamekaa bila hati miliki kwa miaka mingi na hawajui kwamba kupata kile cheti ni utajiri wao. Hii ni kwasababu ukiambiwa una shamba lakini hauna cheti cha kuweza kumiliki, basi hautakuwa na ule utajiri ambao unaweza kujivunia."}