{"id":563077,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563077/?format=json","text_counter":83,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Chidzuga","speaker_title":"","speaker":{"id":751,"legal_name":"Zainab Kalekye Chidzuga","slug":"zainab-kalekye-chidzuga"},"content":"eneo la Kwale. Pia, ningependa kuwahimiza viongozi wenzangu katika maeneo ya Pwani tuweze kushikana pamoja na tunapoona matatizo tuyakabili kwa sauti moja ndiposa hii Kamati iweze kuwa na nguvu ya kuweza kuyatatua haya matatizo."}