{"id":563110,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563110/?format=json","text_counter":116,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Nassir","speaker_title":"","speaker":{"id":2433,"legal_name":"Abdulswamad Sheriff Nassir","slug":"abdulswamad-sheriff-nassir"},"content":"Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Huwa tunafuraha sana kuona vizazi vinavyokuja vikiweza kuja katika Bunge na kuona yale mambo yaliyofanywa na wale waliopita na yale yanayohitajika kufanyika hivi sasa ili wao wahakikishe wasifanye makosa yale yale."}