{"id":563885,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563885/?format=json","text_counter":150,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"wamekula ile nyama iliyonona na wamebakisha mifupa. Ingefaa wawaachie Wakenya watafune ile mifupa na hata kama hawapati nyama ndani yake, angalau inatoa maji ambayo wanaweza kumeza na kuendelea na maisha yao."}