{"id":563893,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/563893/?format=json","text_counter":158,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, anakotoka Sen. Abdirahman ni sehemu ambayo watu wanamudu maisha kwa ugumu sana. Hivi tunapoongea hapa Bungeni – ningetaka Sen. Elachi afahamu haya – ni kwamba waalimu wametoroka pale kwa sababu hakuna usalama na chama cha walimu kimewaambia wanachama wake The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."}