{"id":565903,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/565903/?format=json","text_counter":202,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Naibu Spika ninakushukuru kwa kunipatia nafasi hii. Nikianza, ningependa kumwambia Mhe. Cecil Mbarire ajue tofauti kati ya chuo kikuu na college . Ninamwomba ajue jambo hili. Yangu ni kumwambia tu kuwa watu ambao walienda college hawakuenda chuo kikuu. Kwa hivyo Mhe. Mbarire---"}