{"id":565916,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/565916/?format=json","text_counter":215,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Naibu Spika, ninakubali kuwa huyu shangazi anatoka Embu. Lakini tukubaliane kwamba Embu iko katika Mkoa wa Kati."}