{"id":566427,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/566427/?format=json","text_counter":151,"type":"speech","speaker_name":"Hon. S.A. Ali","speaker_title":"","speaker":{"id":2100,"legal_name":"Shariff Athman Ali","slug":"shariff-athman-ali"},"content":"Ninaunga mkono Hoja hii. Lakini kubwa ambalo nataka tuangazie kama viongozi ni kuwajibika, kutekelza na kujua kwamba wananchi wa Kenya wanaumia popote walipo kwa ajili ya masuala ya afya. Asante."}