{"id":566918,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/566918/?format=json","text_counter":284,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"shughuli ya Huduma kwa Vijana na anachunguzwa. Mimi nilipotajwa, nilienda kortini na ninangojea kujitetea. Inafaa hata huyu Bi. Anne Waiguru ajitetee mwenyewe kule mahakamani. Yeye ametajwa---"}