{"id":566923,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/566923/?format=json","text_counter":289,"type":"speech","speaker_name":"Sen,. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Bw. Spika wa Muda, kupinga sio kutokubaliana na wengine, bali tunapozungumza juu ya vile pesa za umma zinatumiwa na mtu anasimama na kusema kwamba haitumiki namna hiyo. Hiyo inaonyesha kwamba yeye anapinga Hoja hii. Ninaunga mkono."}