{"id":566938,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/566938/?format=json","text_counter":304,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"nangojea kustaafu kazini na sina nia ya kufanya kazi. Ni lazima wale ambao wamepewa jukumu la kuwalinda wananchi wachukuliwe hatua ili iwe mfano kwa wengine ambao ni wazembe. Kwa hayo machache, naunga mkono."}