{"id":568227,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/568227/?format=json","text_counter":288,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Khaniri","speaker_title":"","speaker":{"id":171,"legal_name":"George Munyasa Khaniri","slug":"george-khaniri"},"content":"Bw. Spika wa Muda, nasikitika sana kwani hata baada ya Bunge letu kutumia pesa nyingi kutuwekea mitambo hii, hiki kitu changu kimekataa kufanya kazi. Nafinya lakini hakifanyi kazi."}