{"id":573145,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/573145/?format=json","text_counter":321,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Khamisi","speaker_title":"","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"Pia nataka kusema kwamba Mheshimiwa Rais Obama hakuweza kuwasahau viongozi wa upinzani. Alijua katika demokrasia kuna Serikari na pia kuna uongozi wa upinzani. Aliwapatia masikio yake na wakakaa chini na kujadili---"}