{"id":574749,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574749/?format=json","text_counter":132,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"Kwa hayo mengi, ningependa kusema kuwa mimi naunga mkono Hoja hii. Ni nzuri na itafanya Kenya iendelee kama nchi ambayo ni ya heshima na sheria. Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda."}