{"id":575903,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575903/?format=json","text_counter":41,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"Tuliambiwa wiki iliyopita kwamba tutakutana nao wiki hii. Lakini wiki hii imepita. Ningependa, ikiwa inawezekana, utoe uamuzi wako kama Naibu Spika, tukutane wiki ijayo ama siku fulani – hata kama ni kesho - ili tujaribu kujadili mambo yanayohusu maswala ya matakwa ya wafanyakazi wetu na wale ambao wanatushughulikia, ili tuje kufanya mambo hapa."}