GET /api/v0.1/hansard/entries/584976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 584976,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/584976/?format=api",
"text_counter": 328,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "maslahi yao ya kupata matibabu, vyakula na hata kupatana na marafiki wao lakini sio kutengwa nafikiri ni vyema. La mwisho ni kwamba, Mswada huu, si rahisi Sen. (Prof.) Lesan, na naomba tufanye utafiti kwa wahusika. Nikitaja wahusika namanisha watu nyumbani. Tutahitaji kuwauliza vile wangetaka kwa maana kuna wengine hawataki kutengana na watoto wao. Kuna wazee hawangependa kukaa mbali kwa watoto wao na wakiona watoto wanafurahi. Lazima tuwahusishe wakati tunajadili Mswada huu ili tujue ni nini haswa wanataka. Mimi kama mzazi, ninajua kuwa nitakuwa mzee mkongwe miaka ijayo, singependa kutengwa na familia yangu. Asante sana."
}