{"id":587984,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587984/?format=json","text_counter":93,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"za kuwekeza ni nyingi pale. Lakini nimesema mazingira pia ya uwekezaji ni conducive and permissive . Kwamba ni mazuri lakini pia yanawezesha. Lakini waambieni pia wawekezaji kuna salama pale. Siku hizi hatutaifishi tena, tumeacha. Lakini, pia, anayewekeza anaruhusiwa kuchukua faida; anaweza kuondoka na gawio la hisa. Nimeeleza kuwa Tanzania ni waumini wa utangamano wa kikanda; regional"}