{"id":587996,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/587996/?format=json","text_counter":105,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ndio nikasema kwamba mgombea wa chama changu akipata, na nina hakika atapata, mambo yatakuwa mazuri zaidi. Nimezungumza naye leo, yuko Arusha leo, na amesema atanguruma kule. Ataelezea msimamo wake kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki na msimamo wake kuhusu uhusiano na Kenya."}