{"id":588062,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588062/?format=json","text_counter":54,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwangu ni fursa sio tu kuwaaga waheshimiwa wabunge hawa, lakini pia kupitia kwao, kuwaaga wananchi, rafiki na ndugu zetu Wakenya. Mhe. Uhuru Kenyatta aliponialika kuja kutembelea nchi hii rafiki ya Kenya, sikusita kukubali mwaliko wake."}