{"id":588096,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588096/?format=json","text_counter":88,"type":"speech","speaker_name":"The President of the United Republic of Tanzania","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Nchi zetu mbili zina ushirikiano wa karibu sana katika biashara na uwekezaji. Kwa lugha ya Kiingereza ni strong bonds of cooperation in investments and trade. Ninachosema ni sisi Tanzania hatuna ushindani na Kenya. Sisi Tanzania na Kenya ni partners au mshirika wa kimkakati - Strategic partner ."}