{"id":588176,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/588176/?format=json","text_counter":43,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Okong’o","speaker_title":"","speaker":{"id":948,"legal_name":"Kennedy Mong'are Okong'o","slug":"kennedy-mongare-okongo"},"content":"Bw. Mzungumzishi, yanaonekana ndugu Seneta wa Meru hakuwa hapa wakati mwalimu, Sen. Zani alipoleta neno mpya linatumika badala ya neno “Spika”. Hilo ndilo neno mwafaka badala ya “spika.”"}