{"id":589353,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/589353/?format=json","text_counter":348,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Ganya","speaker_title":"","speaker":{"id":18,"legal_name":"Francis Chachu Ganya","slug":"francis-ganya"},"content":"Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, Mheshimiwa Gathogo amesema aliumwa na kitu. Inawezakuwa kitu ambacho kinaambukiza? Ninataka kujua aliumwa na nini. Kama ni kitu ambacho kinaambukiza, ni vizuri tupate kinga."}