{"id":589356,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/589356/?format=json","text_counter":351,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Gathogo","speaker_title":"","speaker":{"id":2715,"legal_name":"Esther Nyambura Gathogo","slug":"esther-nyambura-gathogo"},"content":"Asante. Kama alivyosema Mheshimiwa Nakara, inafaa tuwachunge vijana. Isiwe vijana wanashughulikiwa na ikifika wakati wa kufaidika, wazee wanapata na vijana wanakosa. Kwa hivyo tusikose mwelekeo. Vijana pekee ndio wanapaswa kufaidika. Asante sana."}