{"id":590625,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/590625/?format=json","text_counter":288,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Kiongozi wangu badala ya kusema kwamba ni baadhi au moja wapo ya lugha zinazotumika katika kimataifa na anasema ni part ya. Ni Kiswahili gani hicho?Arekebishe au asirekbishe?"}