{"id":594523,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/594523/?format=json","text_counter":120,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Chidzuga","speaker_title":"","speaker":{"id":751,"legal_name":"Zainab Kalekye Chidzuga","slug":"zainab-kalekye-chidzuga"},"content":"ambalo litabadilisha sheria ambayo itatusaidia kuzuia maafa. Tupitishe tengenezo badilisho la kutumika wakati ambapo maafa yametokea. Tukizingatia hali tuliyo nayo katika nchi hii, ni lazima tusimame kidete, kama Waheshimiwa, tutunge sheria ambazo zitamuokoa mwananchi awe salama pahali popote alipo."}