{"id":595156,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/595156/?format=json","text_counter":158,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Mhe. Duale, ninaomba utulie. Ninasema hivi, wakati umefika ambapo wakati hizi sheria zinapopitishwa, jamani tuangalie tuone kama tunaweza kuahirisha kikao hiki. Kama kinaweza kuahirishwa, kiahirishwe ili tupate muda wa kuzingatia haya mambo ili tumalize hii sheria."}