{"id":608023,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/608023/?format=json","text_counter":208,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mr. Deputy Speaker, Sir, I hope my time is saved. Bw. Naibu Spika, askari wengi, haswa upande wa Pwani, wanaona kwamba wakiitwa katika operesheni, huwa kuna shida ya mashamba na wanaitwa kwenda kuwafukuza maskwota. Ama kabla ya hapo---"}