{"id":61024,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/61024/?format=json","text_counter":116,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kabando wa Kabando","speaker_title":"","speaker":{"id":31,"legal_name":"Kabando wa Kabando","slug":"kabando-kabando"},"content":"Bw. Naibu Spika, tuna mpango maalum wa kuhakikisha kwamba utaratibu huu wa Kazi kwa Vijana utasimamiwa vizuri na Wizara"}