{"id":610473,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/610473/?format=json","text_counter":84,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Ms.) Korere","speaker_title":"","speaker":{"id":13134,"legal_name":"Sara Paulata Korere","slug":"sara-paulata-korere"},"content":"Aidha, tutilie maanani suala la kuibua njia ambazo zitawafaidi mashujaa, hasa wale ambao wangali hai. Tunajua kwamba wengi bado hawajafa. Ni muhimu tuangalie masuala ya ardhi ili kwamba ardhi iliyonyakuliwa irudishiwe wale wanaostahiki kumiliki ardhi hiyo."}